Ana elimu ya chuo kikuu, na amehudumu kwa miaka 25 katika makampuni 3 ya kimataifa akiwa mkuu wa idara. Anao uzoefu katika sekta ya kilimo biashara, usindikaji, uzalishaji viwandani, na usambazaji ...mehr sehenAna elimu ya chuo kikuu, na amehudumu kwa miaka 25 katika makampuni 3 ya kimataifa akiwa mkuu wa idara. Anao uzoefu katika sekta ya kilimo biashara, usindikaji, uzalishaji viwandani, na usambazaji wa bidha za chakula na mafuta.weniger sehen